# Maelezo ya Jumla Yahwe anaendelea kuzungumza juu ya watu wake waaminifu. # miaka mia moja "miaka 100" # atachukuliwa kuwa mtu kijana Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "watu watamchukulia kuwa mtu kijana" # atachukuliwa kuwa amelaaniwa Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "watu watamchukulia mtu huyu kuwa amelaaniwa"