# Taarifa ya Jumla Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli. # Utanilinganisha na nani? Ni nani unadhani nafanana naye, ili kwamba tuweze kulinganishwa? Yahwe anatumia swali kusisitiza ya kwamba hakuna mtu kama yeye. "hakuna mtu ambaye mnaweza kunilinganisha naye. Sifanani na mtu, ili tuweze kulinganishwa" # ili kwamba tuweze kulinganishwa Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "ili uweze kutulinganisha"