# Taarifa ya Jumla Isaya anaendelea kuzungumza na watu wa Yuda. # hautalia ... kwako ... atakujibu Hapa "kwako" ina maana ya watu ambao wanaishi Sayuni. # atakujibu "atakusaidia"