# Katika siku hiyo Hapa "siku" inawakilisha kipindi cha muda kwa ujumla. # Yahwe kwa mkono wake, kwa upanga mkubwa na mkali ataadhibu Yahwe kuwa na nguvu ya kuangamiza adui zake inazungumziwa kana kwamba alikuwa na upanga imara, na mkubwa. # jitu la kutisha ambalo limo katika bahari Hii ina maana ya Lewiathani # Shamba la mizabibu la mvinyo, litaimba kwa ajili yake "Imba juu ya shamba la mizabibu la mvinyo".Hii inazungumzia kuhusu watu wa Israeli kana kwamba walikuwa shamba la mizabibu ambalo lilizaa matunda. "Imba kuhusu watu wa Israeli kana kwamba walikuwa shamba la mizabibu ambalo lilizaa mizabibu kwa ajili ya mvinyo" # Mimi, Yahwe, ni mlinzi wake "Mimi, Yahwe, hulinda shamba la mizabibu" # usiku na mchana Maneno "usiku" na "mchana" yanaunganishwa hapa kumaanisha "wakati wote". "wakati wote" au "kwa kuendelea"