# Taarifa ya Jumla Hii inaendeleza unabii kuhusu watu wa Moabu. Mungu anafafanua matukio ambayo yatatokea wakati ujao kana kwamba inatokea katika wakati wa sasa. # wanavaa nguo ya gunia Wanafanya hivi kuonyesha huzuni yao kuu. "wanavaa nguo za gunia na kuomboleza" # Heshboni ... Eleale ...Yahasa Haya ni majina ya miji mikubwa na miji midogo. # Heshboni na Eleale zikapaza sauti Majina ya miji hii inawakilisha watu wa miji hii. "Watu wa Hebroni na Eleale wanapaza sauti" # wanatetemeka kati yao Kutetemeka kimwili ni dalili ya hofu. "watakuwa wamejazwa kabisa kwa hofu"