# Taarifa ya jumla: Bwana anazungumza. # Uovu mara mbili Hii inamaanisha uovu mwingi wa Israeli. # Efraimu ni ndama mwenye mafunzo ambayo anapenda kupura nafaka Ndama anapenda kupura nafaka kwa sababu wanaweza kutembea kwa uhuru bila nira. # nitaweka nira juu ya shingo yake nzuri. Nitaweka nira kwa Efraimu "Nira" inamaanisha mateso na utumwa. Bwana amekuwa mwema kwa wana wa Israeli lakini kwa sababu watu hawakuwa waaminifu atawaadhibu na kuwafanya watumwa. # Yuda ataimea; Yakobo atauvuta pigo kwa nafsi yake. Bwana atasababisha wakati mgumu kwa falme zote za Yuda na Yakobo. # Pigo Ni kifaa kinachotumika kuifanya ardhi iwe nzuri na kufunika mbegu baada ya kulima.