# Taarifa ya jumla: Mungu anazungumza juu ya Israeli. # Mashitaka Haya ni malalamiko ya mtu mmoja dhidi ya mtu mwingine mahakamani. # msiruhusu mtu yeyote ahukumu mtu mwingine Mtu yeyote asimuhukumu mtu mwingine kwa lolote kwa sababu kila mtu ni mkosaji wa jambo fulani. # Ninyi makuhani mtajikwaa "kujikwaa" inamaanisha kutomtii Mungu na kuacha kumtumaini. # nitamwangamiza mama yako Hapa "mama" inamaanisha taifa la Israeli.