# Taarifa kwa ujumla: Habakuki anamtukuza Yahwe. # furahia ... uwe na furaha Maneno yote yanamaanisha "uwe na shangwe," lakini kama lugha yako ina neno maalumu kwaajili ya kufurahia baada ya kushinda vita, litumie hilo "shangilia sana" hapa # hufanya miguu yangu kama kulungu; huniongoza mahali pangu pa juu Miguu kama ya kulungu ingempa Habakuki uwezo kupanda ulioinuka mwamba majabari. Maneno "mahali pa juu" linarejerea mahali pa nje kufikiwa na hatari. Yeye anasema Mungu anampa yeye uwezo wa kutafuta mahali pa usalama.