# Lea akashika mimba tena "Lea akawa mimba tena" # na kuzaa mwana wa sita kwa Yakobo "na kuzaa mtoto wa kiume wa sita kwa Yakobo" # Akamwita jina lake Zabuloni "Jina la Zabuloni lina maana ya "heshima" # na kumwita jina lake Dina Hili ni jina la binti wa Lea.