# Bilha Hili ni jina la mtumishi wa kike wa Raheli. # kumzalia Yakobo mwana "akazaa mtoto wa kiume kwa Yakobo" # akamwita jina lake "Raheli akmpatia jina" # akamwita jina lake Dani "Jina la Dani lina maana ya "alihukumu".