# akamjua akamjua # na akasema, " Mungu amenipatia mtoto mwingine wa kiume Hii ni sababu ya yeye kumuita Sethi. Hii inaweza kuwekwa dhahiri. "na ikaeleza, 'Mungu amenipa mtoto mwingine'" # Sethi Hili jina linaonekana kama neno la Kiyahudi lenye maana ya "amenipatia" # Mtoto wa kiume alizaliwa kwa Seth Hii inaweza kuwekwa dhahiri. "mke wa Sethi alimzalia mtoto wa kiume" # kuliitia jina la Yahwe Hii ni mara ya kwanza watu wanamuita Mungu kwa jina la Yahwe. Hii inaweza kuwekwa dhahiri. "kumuabudu Mungu kwa kutumia jina la Yahwe"