# Akiwa Ezra anaomba na kutubu...akajirusha mwenyewe chini Ezra anajiongelea mwenyewe kana kwamba alikuwa mtu mwingine # akajirusha mwenyewe chini upesi kutoka katika hali ya kusimama na kuwa hali ya kulala uso ukiangalia chini # mbele ya nyumba ya Mungu mbele ya hekalu # Shekania Kama ilivyotafsiriwa katika 8:4 # Yehieli Kama ilivyotafsiriwa katika 8:8 # Tumekuwa sio waaminifu kwa Mungu wetu Hii ilifanywa kama toba ya hadharani, sio madai ya kujivuna