# Niliposikia haya Ezra aliposikia kwamba Waisraeli wengi wameoa wanawake wa kigeni na walikuwa wakiabudu miungu yao # nikachana nguo zangu na kanzu yangu na kunyoa nwele kichwani na ndevu Ezra alikuwa akionyesha kila mmoja jinsi asivyopendezwa na watu walivyofanya mamboyaliyomchukiza Mungu # sadaka za jioni sadaka ambayo makuhani wangeitoa kipindi ambacho jua linazama