# Taarifa kwa ujumla Huu ni mwisho wa orodha ya majina ya wanaume # wana wa Azgadi,Yohana mwana wa Hakatani Hii ni kitu kinachofuata katika orodha. Inaweza kuandikwa pamoja na kitenzi "ilikuwa" AT:"Kiongozi wa wana wa Azgadi alikuwa Yohana mwana wa Hakatani" au "Yohana mwana wa Hakkatani alikuwa kiongozi wa wana wa Azgadi" # na pamoja naye walikuwa wameorodheshwa wanaume 110 "na pamoja na Yohana waliorodheshwa wanaume 110" # Wale wa wana wa adinikamu Neno "wale" linamaanisha viongozi. AT:"Viongozi wa wana wa Adonikamu" # AZgadi Tafsiri jina hili la mtu kama ulivyofanya katika 2:11 # Adonikamu Tafsiri jina hili la mtu kama ulivyofanya katika 2:11 # Bigvai Tafsiri jina la mtu huyu kama ulivyofanya katika 2:1 # sitini...sabini "60...70"