# Maelezo ya Jumla: Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa watu wa Israeli. # Kwa njia hii mtatengeneza matoleo matakatifu ya nchi, pamoja na nchi kwa ajili mji "Utatoa sadaka takatifu na pia mali ya mji" # ninyi Huu wingi unarejea kwa watu wa Israeli. # sadaka takatifu nchi ambayo watu wa Israeli waliyopewa na Yahwe kwa ajili ya Walawi, makuhani, na hekalu