# Maelezo ya Jumla: Yahwe anaendelea kumpatia ezekieli ujumbe kwa nyumba ya Israeli. # Wao "Hawa Walawi" # Watakuja karibu Tazama tafsiri yake katika sura ya 40:46. # watabeba lawama zao na hatia "wataaibika na kuteseka matokeo" # matendo ya machukizo Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:9. # watunzaji mtu ambaye kazi yake ni kulinda au kuangalia kitu au mtu # kitakacho fanyika ndani yake "kwamba wanataka kufanya ndani yake."