# Tazama! Neno "tazama" hapa linatutahadharisha kuwa makini kwa habari ya kushangaza inayofuata. # kama mlio wa maji mengi Tazama tafsiri yake katika sura ya 1:24, "Kama sauti ya maji yanayotiririka. # nchi iling'aa "nchi ilikuwa na mg'ao wa mwanga"