# Maelezo ya jumla: Yahwe ananena na Gogu # weka ndoana katika taya yako Watu huweka ndoana katika midomo ya wanyama ili waweze kuongoza wanyama popote watakapo. # Puti taifa lililoishi katika mahali ambapo ni Libya kwa sasa. # Beth-Togarma Tazama tafsiri yake katika sura ya 27:14.