# neno la Yahwe likaja "Yahwe akanena neno lake." # Mwanadamu Tazama tafsir yake katika sura ya 2:1: # Nyumba ya Israeli Tazama tafsiri yake katika sura ya 3:1. # pamoja na njia zao na matendo yao "jinsi walivyoishi na mambo waliyoyafanya" # Njia zao zilikuwa kama uchafu wa hedhi ya mwanamke mbele yangu "Njia zao zilikuwa kama machukizo kwangu kama uchafu wa hedhi ya mwanamke" # hedhi ya mwanamke ni damu itokayo kwa mwanamke kila mwezi wakati anapokuwa hana mimba # nimeimwaga ghadhabu yangu juu yao "nimefanya mambo kwao yanayoonyesha jinsi nilivyokuwa na hasira." # kwa ajili ya damu waliyoimwaga juu yanchi "kwa sabababu wamefanya damu ya watu wengi kusambaa kwenye nchi" au "kwa sababu wamewaua watu wengi." # na kwa ajili ya uchafu wa hiyo kwa sanamu zao "na kwa sababu wameinajisi nchi yangu kwa sanamu zao"