# neno la Yahwe likaja "Yahwe akanena neno lake." # wachungaji wa Israeli Hili neno linawalinganisha viongozi wa Israeli ambao wanaotakiwa kuangalia watu wao pamoja na wachungaji ambao wanaotakiwa kuangalia kundi lao. "viongozi wa Israeli walio kama kondoo" # Tabiri na sema Tazama tafsiri yake katika sura ya 21:8. # wanajichunga wenyewe "wanajilisha na kujichunga wenyewe." # Je! wachungaji hawapaswi kulilinda kundi? Yahwe anatumia hili swali kuwakaripia viongozi kwa kuacha kuwaangalia watu. # Mnakula mafungu yaliyonona Inaonyesha kwamba fungu lililonona hutoka kwenye kondoo na mbuzi. "Mnakula sehemu za kondoo na mbuzi zilizonona" # mnavaa sufu "vaa sufu kutoka kondoo" # Mnachinja walionona "Mnachinja mifugo wanene ili muweze kuwala" # wanene "kondoo mwenye afya na mbuzi" au "kondoo na mbuzi walio nona kabia" # hamkuwalisha siku zote "msiwalishe na kulichunga kundi"