# Mwana mfalme wa kaskazini "Wana mfalme waliotawala mataifa katika kaskazini" # wapo huko "wapo katika Sheoli" # kwenda chini "kwenda chini hata Sheole" # pamoja na maiti "pamoja na wale waliokuwa wameuawa" # ambao waliokuwa wameuawa kwa upanga "waliokuwa wameuawa kwa upanga" # Wamebeba aibu yao wenyewe, pamoja nao waendao kwenye shimo "wamebeba aibu yao wenyewe, pamoja na wale wanaokwenda chini"