# Maelezo ya Jumla: Yahwe anaendelea kumwambia Farao atafanya nini juu ya Misri. # Kisha wakati nitakapo izimisha taa yako "Yahwe analinganisha jinsi atakavyo muangamiza Farao kwa jinsi atakavyoweka moto wa taa. "Wakati nitakapokuharibu" # nitazifunika mbingu Yahwe ataifunika anga ili kwamba watu wa nchi hawawezi kuona mwanga wa nyota, jua na mwezi. # giza na nyota zake "nitazifanya nyota giza." Hakutakuwa na nuru. # nitaweka giza juu ya nchi "nitalifanya giza katika nchi yako" # hili ni tangazo la Bwana Yahwe Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:11.