# Maelezo ya Jumla: Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa mtawala wa Tire. # kwa hekima na ujuzi "kwa hekima yako na uelewa wako" # na kujipatia "na kujihifadhia" # hazina mahali pa kuhifadhia vitu vya thamani na kuviweka salama