# Maelezo ya Jumla: Yahwe anaendelea kumpatia ezekieli ujumbe wake kwa Tire. # makasia vipande virefu vya mbao ambavyo watu hutumia kutengenezea boti kutembea # sitaha ni sehemu za boti ambazo watu wanaweza kutembea juu yake # pembe nyeupe, nzuri, na nyenzo ngumu ambayo imetengenezwa kutokana na meno ya wanyama. # tanga vipande vya nguo vinavyoendesha meli wakati upepo uvumapojuu yao