# nyumba ya Israeli Tazama tafsiri yake katika 3:1. # kupinga katika vita "kujilinda" # Je hamkuwa na maono ya uongo ... Wakati mimi mwenyewe sikuongea? Yahwe anatumia hili swali kuwakemea manabii wa uongo. # mlikuwa maono ya uongo na kufanya utabiri wa uongo Tangu manabii wa uongo wakose kupokea ujumbe wa kweli kutoka kwa Yahwe, kile wanacho tabiri kuhusu baadaye sio kweli. # Hivi na hivi Hili ni nenao lililotumika kurejea kwa kitu chochote nabii ameweza kusema. # Agizo la Yahwe Tazama tafsiri yake katika 5:11.