# Maelezo ya Jumla: "Picha kama ya mtu" (8:1) inanena na Ezekieli. # Mwanadamu "Mwana wa mwanadamu" au "mwana wa binadamu." # inua macho yako juu "tazma" au "geuza kichwa chako na tazama" # lango linaloelekea kwenye madhabahu "lango kupitia watu wanaotembea hivyo wanaweza kwenda kwenye madhabahu" # unaona kile wanachokifanya? Mungu anatumia hili swali kuvuta usikivu wa Ezekieli kwa kile watu walichokuwa wakikifanya. "nataka kufahamu kwa nini nachukia kile watu wanachokifanya hapa." # nyumba ya Israeli Neno "nyumba" ni badala ya familia inayoishi katika nyumba, katika kesi hii Waisraeli, uzao wa Yakobo zaidi ya miaka mingi.