# Maelezo ya Jumla: Ezekieli anaendelea kueleza kuhusu maono kutoka kwa Mungu. # akanyoosha Neno "yeye" huenda linarejelea kwa "picha kama mtu" # kati ya mbungu na nchi "kati ya anga na ardhi" # katika maono kutoka kwa Mungu, akanileta hata Yerusalemu Neno "katika maono" inamaana kwamba huu uzoefu unatokea katika mawazo ya Ezekieli. Angeendelea kubakia nyumbani kwake wakati Mungu anapomwonyesha haya mambo. # lango la ndani la kaskazini "lango la ndani la kaskazini mwa hekalu" # sanamu ile iletayo wivu mkubwa "sanamu yule aletaye wivu mkubwa" au "yule sanamu anayemsababisha Mungu kuwa na wivu" # ambaye mwonekano wake ulikuwa ule ule nilipoona katika uwanda "aliyeonekana sawa kama yule niliyemuona katika uwanda" # uwanda eneo kubwa la nchi ya tambarare ambalo lina miti michache.