# Maelezo ya Jumla Yahweh anaendelea kuongea na Musa nini awaambie watu wa Israeli. # wataishika Sabato Mungu anaongelea kutii maelekezo yake kuhusu Sabato kama kushika Sabato. # Kuiangalia sana hiyo Sabato katika vizazi vyao vyote "Wao na vizazi vyote vya watu wao wa itunze" # agano la milele "sheria isiona mwisho"