# Maelezo ya Jumla Yahweh anaendelea kuongea na Musa. # Kisha utamchinja kondoo Kondoo aliuliwa kwa kukata koromeo lake.