# Maelezo ya Jumla Yahweh anaendelea kuongea na Musa nini watu wafanye. # mshipi wa naivera uliosukwa kwa ustadi Huu ulikuwa mkanda wa kitambaa uliyo tengenezwa kwa nyuzi nyembamba mtu alizo zokota kufanya uzi mgumu. # ili kwamba kikae Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji. # ili kwamba kifuko cha kifuani kisiachane na naivera Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.