# Maelezo ya Jumla Yahweh anaendelea kumwelekeza Musa wapi pa kwenda na nini Yahweh atafanya. # Nitaufanya moyo wa Farao mgumu Hapa "moyo" wa husu Farao. Tabai yake ya kiburi inazungumziwa kama moyo wake ni mgumu. # yeye ata wakimbiza "Farao ata wakimbiza Waisraeli" # Nitapata utukufu "Watu watani heshimu" # Wamisri watajua mimi ni Yahweh "Wamisri wataelewa kwamba mimi ni Yahweh, Mungu mmoja wa kweli" # Kisha Waisraeli wakaeka kambi kama walivyo elekezwa Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji. # Mfalme wa Misri alipo ambiwa Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji. # Mfalme wa Misri Hii ya husu Farao. # wametoroka "wamekimbia" # , nia ya Farao na watumishi wake ikageuka dhidi ya watu Hapa neno "nia" ya husu tabia zao kwa Waisraeli. # Tumefanya nini kwa kuwaacha Waisraeli waende huru na wasitutumikie? Waliuliza hili swali wakidhani kuwa wamefanya kitu cha kijinga.