# Pi Hahirothi ... Migdoli ..Baali Zefoni Hii ni miji ya mashriki ya mipaka ya Misri. # Wapaswa kueka kambi Hapa neno "wapaswa" ni wingi na la husu Musa na Waisraeli. # Farao atasema kuhusu Waisraeli, 'Wanaangaika kwenye nchi. Nyikani imewafunika.' Hii ya weza andikwa kama nukuu isiyo ya moja kwa moja. # Nyikani imewafunika Farao anaingelea nyikani kama mtu aliye wakamata Waisraeli.