# ningeweza kuunyosha mkono wangu na kukushambulia wewe Hapa "mkono wangu" wa husu nguvu ya Mungu. # ili kwamba jina langu litangazwe dunia nzima Hapa "jina langu" la wakilisha sifa ya Yahweh. # unajiinua dhidi ya watu wangu Upinzani wa Farao kuto waachia wa Israeli kwenda kumuabudu Yahweh unazungumziwa kama anajiinua yeye kuwa kikwazo kwao.