# katika macho ya watu "mbele ya watu" au "katika uwepo wa watu" # aliwatathimini Waisraeli "aliwaona Waisraeli" au "alijali kuhusu Waisraeli" # waliinamisha vichwa vyao Maana zinazo wezakana ni 1) "aliinamisha vichwa vyao kwa mshangao" au 2) "aliinama chini kwa kuabudu"