# Habari ya jumla Musa anazungumza kwa Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa yapo kwenye umoja. # kutoka mwisho wa ulimwengu Haya makundi ya maneno umaanisha kitu kile kile na kusisitiza kwamba adui atatokea taifa ambalo liko mbali sana na Israeli. # kutoka mwisho wa ulimwengu Hii ni nahau. "kutoka maeneo ambayo haujui kitu chochote kuhusu" # kama tai arukaye kwa mhanga wake Hii umaanisha adui atakuja kwa ghafla na Waisraeli hawataweza kuwazuia. # taifa lenye sura katili ambayo haiheshimu wazee na haionyeshi fadhila Neno "taifa" ni mfano wa neno kwa ajili ya watu wa taifa hilo. # hadi mmeangamizwa Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi. "hadi waangamize" au " hadi wawaache bila kitu"