# Taarifa ya Jumla: Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja. # mtumwa aliyetoroka kwa bwana wake Maana kamili inaweza kuwekwa wazi. "mtumwa kutoka katika nchi nyingine aliyetoroka kwa bwana wake na kuja Israeli" # Mruhusu aishi pamoja nawe "Mruhusu mtumwa kusihi miongoni mwa watu wenu"