# Taarifa ya ujumla Musa aendelea kuzungumza na wanaisraeli kama walikuwa mtu mmoja. # Mavazi yenu...miaka arobaini Hiki ni kifungu cha mwisho wanapaswa kukumbuka "tafakari akilini" # miaka arobaini "miaka 40" # Utafikiri...Utashika... tembea katika njia zake na kumheshimu Hii yaendeleza orodha ya amri ambazo zimeanza katika 8:1 # Utafikiri kuhusu katika moyo wako Hapa neno "moyo" uwakilisha mawazo na uelewa wa mtu.