# Taarifa ya ujumla Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo mifano ya "wewe" na "yako" ni umoja # Hautalichukua jina la Yahwe "Hautalitumia jina la Yahwe" # kwa utupu "kutojali" au "kutokuwa na heshima sahihi" au "kwa kusudi baya" # Yahwe hatamshikilia kuwa ana hatia Hii inaweza kutajwa katika hali chanya. "Yahwe atamchukulia kuwa ana hatia" au "Yahwe atamhukumu"