# Maelezo ya jumla Danieli anaendelea kuongea na mfalme # kutakuwa na ufalme wa nne "kutakuwa na ufalme wa namba ya nne'' # wenye nguvu kama chuma Ufalme wa nne unaongelewa kuwa na nguvu kama chuma # Itaviharibu vitu hivi vyote na kuvisaga. Lugha hii mfano inamaana ya kwamba ufalme wa nne utashinda na kuchukua nafasi ya falme zingine. # vitu hivi vyote "falme zilizopita/zilizotangulia"