# Mfalme na atuambie Watu wenye hekima walimweleza mfalme kwa nafsi ya tatu kama ishara ya heshima. # mmeona maamuzi yangu ni magumu kuhusu jambo hili Maamuzi ambayo hayatabadilika yanasemwa kama ni kitu ambacho ni imara. "mmeona kwamba sitabadili maamuzi yangu juu ya hili" # kuna sentensi moja tu kwa ajili yenu "kuna hukumu moja kwa ajili yenu" # uongo na maneno ya kudanganya Maneno haya mawili kwa ukaribu yanamaanisha kitu kile kile na kutia mkazo kwamba huu ni "uongo uliokusudia kudanganya."