# 33Wakati mwanga wa asubuhi ulipokuwa unajitokeza Kulipokuwa kukipambazuka # Siku hii ni ya kumi na nne Siku ya kumi na nne # Hakuna hata unywele mmoja wa vichwa vyenu utakaopotea Hii ilikuwa ni njia ya usemi ulio maanisha kwamba hakuna harari yoyote ingewapata. "Kila mmoja atakuwa salama katika dhoruba hii."