# Lazima usimame mbele ya Kaisari Neno "Lazima usimame mbele ya Kaisari" Inamaanisha paulo kufika mbele ya mahakama na kuhukumiwa na Kaisari. "Lazima usimame mbele ya Kaisari akuhukumu" # Lakini lazima tuumie kwa kupigwa katika baadhi ya visiwa. "Upepo lazima utatupeleka ufukweni mwa visiwa fulani."