# Mabaharia wakaanza kutupa vifaa kwa mikono yao wenyewe Vifaa ina maanisha vyombo maalumu kwa ajili ya mabaharia. Hii inaonesha jinsi hali ilivyokuwa tete. # Bado dhoruba kubwa ilitupiga Upepo wa kutisha ulitupiga sana.