# Maelezo yanayounganisha Paulo aliendelea kutoa utetezi wake kwa Mfalme Agripa. Kwenye mistari hii aliendelea kunukuu mazungumzo yake na Bwana. # Nilijitenga mwenyewe "Nilitengezeza mwenyewe" au "Kuweka wakfu mwenyewe" # kwa imani iliyo kwangu Hii inaelezea Imani juu ya Mungu kwa waliotengwa na Mungu kwa ajili yake. # Niliowatenga kwa ajili yangu kwa imani iliyo kwangu Paulo alimaliza kumnukuu Bwana