# Nilipokuwa nafanya hivi Paulo alitumia maneno haya kuonesha ushahidi mwingine. sasa anaelezea namna Yesu alipomuita toka kwenye kuwatesa watakatifu na kumfuata yeye. # Nilipokuwa neno hili limetumika kuonesha matukio mawili yanayotokea kwa wakati mmoja. Hapa Paulo alikuwa anawatesa watakatifu alipokuwa akienda Dameski. # Kwa mamlaka na maagizo Paulo alikuwa na barua toka kwa viongozi wa kiyahudi wakimpa mamlaka ya kuwatesa waamini wa Kiyahudi. # Ni vigumu kwako kuupiga teke mchokoo Mungu anafananisha kukataa kwa Paulo kuhusu mipango ya Mungu na ng'ombe anayepiga teke fimbo ya mkulima. "ngumu kwako kupambana na maelekezo ya Mungu kwako."