# Paulo aliletwa kwao "Walimpeleka Paulo mbele zao" # walinipigia kelele "Wayahudi waliongea na mimi kwa nguvu" # Asiendelee kuishi Maelezo haya yanaweka mkazo wa kinyume cha kusema "afe maramoja"