# Sentensi unganishi Wakati Paulo akiwa kifungoni kwenye ngome, Wayahudi wasioamini waliapa kumwua. # Azimio "kufanya nadhiri" au "kuapa mbele za Mungu" # Azimio Ni makubaliano ya kawaida ya kufanya jambo fulani. # kuita laana juu yao wenyewe Neno "laana" Walimwomba Mungu awalaani hama wasingetimiza nadhili yao # wanaume arobaini wanaume 40 # ambao walifanya njama hii "ambao alipanga kumuua Paulo"