# Sentensi unganishi Fungu hili linazungumzia habari ya unabii ulionenwa kumhusu Paulo katika Kaisaria kutoka kwa nabii Agabo. # nabii mmoja aitwaye Agabo Hii inamtambulisha mtu mpya katika habari hii. # Agabo Agabo alikua mtu kutoka Yudea # Kuchukua mkanda wa Paulo "Aliutwaa mkanda wa Paulo kutoka kiunoni mwake" # na kusema, "Roho Mtakatifu asema hivi," "Wayahudi wa Yerusalemu watamfunga mtu anayemiliki mkanda huu Alimaanisha kuwa Roho Mtakatifu alimjulisha Nabii Agabo kuwa Wayahudi huko Yerusalemu watamfunga Paulo kama alivyojifunga mkanda wa Paulo na kumkabidhi kwa watu wa mataifa. # Wayahudi Hii haimanishi Wayahudi wote, lakini baadhi ya watu walifanya hivyo. # kumkabidhi mikononi mwa "Kumkabidhi kwa" # katika mikono ya wamataifa Neno "Mikono" Linawakirisha udhibiti. # Wamataifa Neno hili linasimamia mamlaka miongoni mwa wamataifa.