# Taarifa ya jumla Habari hii inazungumzia mafundi waliokuwa wakifua visanamu. Kundi jingine ni la wale waliokusanyika kuwasikiliza mafunzi wafua visanamu. # Taarifa ya jumla Gayo na Aristariko walitoka Makedonia lakini walikuwa wakitenda kazi na Paulo katika Efeso katika wakati wake. # walijawa na hasira "wakawa na hasira sana" # na wakapiga kelele, wakisema kelele kwa sauti kubwa, akizungumza # Mji wote ulijawa na taharuki Watu waliokuwemo katika mji wote wakaingiwa na taharuki na kuanza kupiga kelele. # watu wakakimbia kwa pamoja Kulikuwa na hamasisho la ghasia kubwa # kwenye ukumbi Ukumbi wa Efeso ilitumika kwa ajili ya mikutano ya hadhara na kwa ajili ya burudani kama vile michezo na muziki # Washirika walioambatana na Paulo watu waliokuwa wakisafiri pamoja na Paulo # Gayo na Aristarko Haya ndiyo majina ya watu wanaume