# Taarifa ya Jumla Paulo alianza mahubiri yake kwa wanafilosofia wa Areopago. # weny dini hasa katika kila namna Paulo alikuwa akirejea jinsi Waathene wanavyoonyesha hadharani kuheshimu miungu kwa sala, kujenga madhabahu na kutoa dhabihu # kwani nilipokuwa nikipita "kwasababu nilipotembea na kupita" # KWA MUNGU ASIYEJULIKANA Inaweza ikawa na maana zifuatazo 1) "mungu fulani asiyejulikana" au 2)"kwa mungu yeyote tusiyemjua